Jumatatu, 23 Novemba 2015

Coming soon!!!!

Habari wana jamvi, tunatarajia kufungua blog hii ambayo itafanya kazi kama blog zingine kwa minajili ya kutoa taarifa kwa haraka, ila taarifa za humu zitakuwa za kina na haraka zaidi kuliko maeneo mengine yote. Tutege sikio na tungojee mambo matamu na mazuri kutoka maeneo mbalimbali kupitia blog hii.
Kwa niaba ya uongozi wa blog hii, chini ya usimamizi na uendeshwaji wa kampuni ya dear rukia media.
Wenu,
Sadique Bwanga.
Blog Founder